GET /api/v0.1/hansard/entries/1381920/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381920,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381920/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "Hii imeruhusiwa. Hoja yangu imeruhusiwa vizuri na Bw. Spika. Sio vyema Seneta wa Nairobi kuyaweka wazi mambo yanazungumzwa kwa mkutano wa SBC. Ni bora kweli aje hapa kwa Seneti na kuyaweka hayo maneno wazi? Na mbona anatoa siri ya Kamati ya SBC?"
}