GET /api/v0.1/hansard/entries/1381968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1381968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381968/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili nitoe hisia zangu kutokana na kutofika kwa Mawaziri wetu katika kikao chetu cha asubuhi. Ni jambo la kutamausha, kukasirisha na kughadhabisha. Tumeamka mapema na kuwacha vitanda vyetu ili tupate mwelekeo wa maswali ibuka. Wengine ambao hatukuweza kupendekeza maswali tuulize maswali ya ziada. Sitakubaliana na Maseneta wenzangu. Mawaziri ambao hawakuweza kufika hapa ni watatu. Lakini kidole cha lawama kimenyooshewa Waziri ambaye anatoka Pwani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services, Senate."
}