GET /api/v0.1/hansard/entries/1381969/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381969,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381969/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ni jambo la kutamausha kuona kuwa sisi watu wa Pwani, haswa viongozi, tunaangaliwa kama njia moja ya kuvutia miguu mambo yote. Ni mara kadha Mawaziri wameitwa kwenye Bunge hili na hawafiki, lakini sioni kwa nini kila mtu anamnyoshea kidole cha lawama dadangu, kiongozi kutoka Pwani. Kwani yeye sio binadamu ama kiongozi ambaye anaweza patwa na dharura."
}