GET /api/v0.1/hansard/entries/1381977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1381977,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1381977/?format=api",
"text_counter": 147,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mandago",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13577,
"legal_name": "Kiplagat Jackson Mandago",
"slug": "kiplagat-jackson-mandago"
},
"content": "Ni haki Sen. Miraj kudai kuwa watu wa Pwani wanaonewa kwa njia ya kuvutia miguu ilhali katika Serikali hii, wewe ni Spika wa Seneti ambayo ni ‘upper’ House. Mhe. Waziri Aisha Jumwa ni baadhi ya wale wamama wachache wameteuliwa Serikalini. Sen. Miraj amenominetiwa kuwa kwenye Bunge hili."
}