GET /api/v0.1/hansard/entries/1382005/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1382005,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382005/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Naomba kuondoa hoja hiyo na kushinikiza kwamba, iwapo mfanyikazi ama Waziri analipwa mshahara, anaendeshwa kwa magari ya kifahari na anatibiwa kwa pesa za mtozwa ushuru, ilhali anayelipa ushuru hamuoni mtumishi wa umma popote katika Kaunti hiyo, na mtumishi huyo hajalalamika kwamba analishwa, kuvishwa na kuendeshwa vizuri, bila shaka anafurahia jasho la Wakenya. Bw. Spika, niliuliza Waziri wa Mausala ya Jinsia Maswali kuhusiana na mimba za mapema katika Kaunti ya Bungoma, kwa sababu ya upungufu wa sodo na pesa za The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services, Senate."
}