GET /api/v0.1/hansard/entries/1382383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1382383,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382383/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
"speaker_title": "Hon. David Gikaria",
"speaker": null,
"content": ". Nashangaa kuwa Wizara ya Fedha bado inaweka mikakati ya kupunguza madeni tangu tupate Independence, mikakati ambayo tunaendelea kukiuka. Wenzetu wachache hapa wamesema kuwa tuweke mikakati hiyo na tufanye kazi yetu kama Wajumbe. Hiyo siyo kazi ya Executive hata kidogo. Tumepitisha mambo haya yote katika sheria zetu. Chochote ambacho"
}