GET /api/v0.1/hansard/entries/1382386/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1382386,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382386/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru Town East, UDA",
"speaker_title": "Hon. David Gikaria",
"speaker": null,
"content": "kusimamisha fikira kama hizo katika siku zijazo. Isikuwe kuwa mimi kama Mjumbe sijali kile nitakachofanya katika miaka mitano nitakayokuwa hapa kwa sababu yule atakayekuja baada yangu ataubeba mzigo huu. Tunaomba Wizara ya Fedha na Kamati ya Bajeti kuweka mikakati ya kupunguza madeni. Tunapigia upato Ripoti hii ili ipite lakini ikishapita, tusiambiwe kuwa madeni yetu yamefika Ksh15 trilioni kisha tuanze kuilaumu Bunge ya mwaka jana au mipango ya yule Rais wa awali. Tunapaswa tuzingatie mambo hayo na kuweka mikakati. Yale mambo ambayo wameahidi wana…"
}