GET /api/v0.1/hansard/entries/1382411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1382411,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382411/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": "Jambo la pili ni kwamba wakati hizo pesa zinafika, ni vizuri ziboreshe wananchi wote kwa jumla. Zisitumiwe katika upande mmoja wa nchi na zikose kufika upande mwingine na wakati wa kulipa, wananchi wote wanajumuishwa."
}