GET /api/v0.1/hansard/entries/1382412/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1382412,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382412/?format=api",
"text_counter": 298,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": "Nikimaliza kwa sababu ya muda, dawa ya deni ni kulipa. Tuna mpango mzima wa kukopa pesa. Pia, ni vizuri tuwe na mikakati mizuri ya ni vipi pesa hizi zitalipwa, ili tusije kulimbikizia madeni vizazi vijavyo. Mtoto hajazaliwa lakini tayari anadaiwa kwa sababu tulikopa pale mbele bila mipango mizuri. Naunga mkono Ripoti hii. Ni jambo njema tunazungumzia hapa Bungeni masuala haya ya kukopa na kukopesha pesa kutoka kwa nchi mbalimbali ama za nje."
}