GET /api/v0.1/hansard/entries/1382540/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1382540,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382540/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": " Shukrani, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia fursa hii kuzungumza jambo hili, ambalo ni muhimu, na linaweza kuinua uchumi wa Kenya. Pia, linaweza kuhifadhi sarafu za kigeni, ambazo kwa wakati huu zinatumika kwa wingi. Tukileta nguo, hasa katika sekta ya mitumba – ninajua ni biashaara kwa wengine – athari yake kubwa ni kuwa tunawakosesha vijana wetu ajira wakati tunatoa hizo nafasi kwa wale wanao zitengeneza ughaibuni. Kwa mfano, hivi sasa sehemu ya kwetu kule Kwale, kuna kiwanda ambacho Serikali inajenga eneo Bunge la Msambweni. Hilo ni jambo la kufurahisha. Ninaipa kongole Serikali ya Kenya Kwanza; kwa mara ya kwanza, imeweza kufufua viwanda katika The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}