GET /api/v0.1/hansard/entries/1382960/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1382960,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382960/?format=api",
    "text_counter": 214,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia Hoja hii na kuunga mkono ripoti hii. Kwanza, ninatoa kongole kwa Mwenyekiti wa Kamati hii, Sen. Ali Roba na Mwenyekiti wake mdogo, Sen. Tabitha Mutinda, kwa kazi nzuri ambayo wamefanya. Kama unavyojua, Bw. Naibu wa Spika, sisi Maseneta kazi yetu kubwa ni kuhakikisha kwamba kaunti zetu zinapata pesa za kutosha. Kazi yetu nyingine ni kufanya"
}