GET /api/v0.1/hansard/entries/1382962/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1382962,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1382962/?format=api",
    "text_counter": 216,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "na kuangalia kwamba hizi pesa zinatumika namna gani katika kaunti zetu. Sitachukua muda mrefu kwa sababu mengi ambayo Maseneta wenzangu wamechangia ni ya ukweli. Kama Seneta wa Kaunti ya Kwale, naunga mkono hii ripoti. Hivi karibuni, kulitokea ripoti kwamba gavana wangu wa Kaunti ya Kwale, Mhe. Fatuma Achani, amekuwa ranked nambari mbili kwa kazi nzuri aliyoifanya. Mwenyezi Mungu aijalie ili Maseneta wote tuichangie. Tutoe kauli yetu kwa umoja kwamba hii ripoti iko sawa. Hii Kamati izidi kuendelea ili mwaka ujao itutengenezee ripoti kama hii. Asante sana. Mwenyezi Mungu awabariki."
}