GET /api/v0.1/hansard/entries/1383945/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1383945,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1383945/?format=api",
    "text_counter": 777,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": null,
    "content": "Naongea jambo ambalo limenitia moyo sana katika Ripoti hii. Ni maswala kuhusu pesa ya stima. Kule tunakotoka, ni watu wachache walio na stima. Ukienda maeneo ya Taita/Taveta leo hii - ukianzia Taveta uje Voi, ufike Mwatate na Wundanyi—utapata ni sehemu chache sana zina stima. Ripoti imesema tuweke milioni hamsini kwa kila eneo bunge ili kila Mkenya aunganishwe na stima. Nina uhakika kwamba swala hili ni la muhimu."
}