GET /api/v0.1/hansard/entries/1385319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1385319,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385319/?format=api",
    "text_counter": 399,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nachukua nafasi hii kuwakaribisha wageni wetu kutoka Samburu County. Kama mnavyojua, mimi ni Seneta wa Kaunti ya Marsabit na tunapakana na Kaunti ya Samburu. Wageni waliokuja hapa leo hawajakuja kutembea Nairobi kuzuru Museum ama"
}