GET /api/v0.1/hansard/entries/1385321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1385321,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385321/?format=api",
    "text_counter": 401,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": ". Wamekuja hapa kuleta kilio cha watu wa Kaunti ya Samburu. Tangu Kenya ipate Uhuru, hata kabla ya Uhuru, kule kwetu tumekuwa tukijulikana kama marginalised. Tangu uongozi wa Mzee Jomo Kenyatta, Rais Moi na hata Rais Uhuru Kenyatta bado tumekuwa tukiitwa marginalised. Hata sasa bado tunaitwa marginalised. Juzi kuna Member of County Assembly (MCA) aliyeuawa. Kama viongozi wanauawa, nini itafanya Cabinet Secretary wa nchi hii asiuawe? Bi. Spika wa Muda, Hoja iliyoko mbele yetu inahusu banditry . Banditry ni kama"
}