GET /api/v0.1/hansard/entries/1385421/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1385421,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385421/?format=api",
    "text_counter": 501,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nataka kuchukua nafasi hii, Bw. Spika wa Muda, kukushukuru kwa kunipa nafasi na mimi nitoe maoni yangu kuhusu Mswada wa leo. Bw. Spika wa Muda, Kenya inatakikatana kujenga nyumba 250,000 kila mwaka, lakini zinazojengwa ni 50,000 pekee. Kwa hivyo, kila mwaka tunakosa nyumba 200,000 zinatotakikana kuwa zimejengwa katika nchi yetu. Tunataka tushikane mikono katika suala hili la ujenzi wa nyumba na tusimame nyuma ya Serikali hii kwa sababu kuna shida ya ukosefu wa nyumba kila sehemu ya Kenya. Pili, katika wale tuliokuwa tumesimama upande wa Serikali na upinzani, sote tulizumgumzia hili suala wakati wa kupiga kampeini---"
}