GET /api/v0.1/hansard/entries/1385438/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1385438,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385438/?format=api",
    "text_counter": 518,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia mapendekezo mapya ambayo yamekuja kupitia kamati ni kwamba, tupeleka pesa directly kwa counties. Hizi pesa zikija kwa kaunti zetu, kaunti zetu zitakuwa na nafasi ya kusaidia wananchi wetu wapate kujenga nyumba vile inavyostahili kutokana na kule ambako wanatoka."
}