GET /api/v0.1/hansard/entries/1385490/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1385490,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385490/?format=api",
"text_counter": 570,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "na miaka mingine mitano tutaendelea hivyo; na tutawashinda na mambo ya nyumba yatakuwa yanaonekana kila kona. Sio mambo ya nyumba tu. Kuna mambo mengi yanayofaa Serikali ya Kenya kuangalia. Tumeona mambo ya fertilizer na mengine mengi. Kwa hivyo, tuunge mkono Serikali ya Kenya Kwanza. Nikiwa nimesimama hapa nawakilisha Kaunti ya Embu; mimi ni Seneta wa Embu, Sen. Munyi Mundigi, the Deputy Party Leader, the United Democratic Alliance."
}