GET /api/v0.1/hansard/entries/1385514/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1385514,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385514/?format=api",
"text_counter": 594,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Nataka kuunga mkono Mswada huu wa bei nafuu za nyumba. Nilipokuja katika Seneti hii, nilisimama pale nikasema kwamba nitaiilinda, nitaitetea na ninataka kuongeza, nitaitekeleza Katiba. Katika Kipengee 43 cha Katiba, kinasema ya kwamba, wananchi wa Kenya, wanapaswa kupewa nyumba ambazo zinawafaa. Ni vizuri ijulikane---"
}