GET /api/v0.1/hansard/entries/1385522/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1385522,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1385522/?format=api",
    "text_counter": 602,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, Mswada ulio mbele yangu ni kuhusu nyumba. Mambo ya njaa tumeyashughulikia vilivyo na tumewapatia pembejeo. Yeye mwenyewe alipokuwa akizunguka na sufuria kichwani, sisi tulishughulikia mambo ya wananchi wa Kenya. Ni kazi ya Serikali kushughulikia wananchi wake kwa kuwapatia makao. Tukipitisha Mswada huu, Wakenya wengi wanaoishi katika hali ya uchochole, watapata makao. Mswada huu utashughulikia haya mambo. Tulipokua tukitembea katika Jamhuri ya Kenya tukifaya campaign, tuliwaahidi Wakenya nyumba za bei nafuu. Hayo ndio mambo tunayoangazia siku ya leo na tunapaswa kuyafanya."
}