GET /api/v0.1/hansard/entries/1387060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1387060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1387060/?format=api",
    "text_counter": 937,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ninaunga mkono tuweze kupiga kura kwa sababu walio wachache wote wako hapa Bungeni leo. Ninamwona Katibu Mkuu, the Senate Minority Leader na hata Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira ambaye huwa haonekani hapa lakini, leo wote wamekuja ili waongee mambo ya makazi ya bei nafuu ili wasikike kule nje."
}