GET /api/v0.1/hansard/entries/1389595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1389595,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1389595/?format=api",
"text_counter": 936,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Ni lazima tupate mwelekeo. Sio vyema Maseneta waliopo hapa kuchukua nafasi kwamba ni mawakili ama wawakilishi wa washukiwa ama washtakiwa katika masuala haya. Waache kesi iendelee jinsi inavyopaswa kuendelea."
}