GET /api/v0.1/hansard/entries/1392356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1392356,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1392356/?format=api",
"text_counter": 268,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, mimi ninasema kwamba tusiwadhulumu Wakenya. Hao ambao tunawakata pesa zao za Housing Levy, wengi wana madeni ambayo wamejenga majumba yao. Na kama kweli wanataka kujenga, jambo langu ni kuwa basi wasijenge kwenye shamba la Serikali. Maanake huwezi kuniambia wanikata pesa kisha unijengee kwa shamba ambalo si langu. Nitakuwa na uhakika gani kuwa mimi nitamiliki hiyo nyumba. Kama wanataka kujenga kweli, wawajengee kwenye mashamba yao ambayo wanamiliki wao wenyewe. Asante sana."
}