GET /api/v0.1/hansard/entries/1392823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1392823,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1392823/?format=api",
    "text_counter": 735,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": null,
    "content": "siku ya prize giving . Walimu 32 katika shule ya Sekondari ya Bahati wanalipwa na the board of management. The Teachers Service Commission (TSC) imeshindwa kuwaandika na kuwalipa mishahara. Hawa mawaziri wadogo ambao wanaandikwa wanapaswa wafahamu kuwa wizara hizo zote zina mawaziri na principal secretaries . Ni kazi gani ambayo hawawezi kufanya mpaka ni lazima waongeze mtu mwingine? Ninafikiria ni conflict ofinterest. Pale Kilifi, kwa mfano, mama aligombea kiti cha Mwakilishi wa Kike, akashindwa, lakini bado hajateuliwa kama CAS ilhali alifanyia kampeni Serikali. Tutakuwa tunafanya kazi gani pale kaunti?"
}