GET /api/v0.1/hansard/entries/1393089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1393089,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1393089/?format=api",
"text_counter": 258,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon.Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa fursa ya kuchangia Ripoti hii muhimu sana. Lakini kabla ya hilo, ninakupa tahadhari kwamba nilingia Jumba hili saa nane na dakika ishirini, nikaweka kadi yangu ikawaka. Mhe. Spika alipitisha hapa kwamba Wabunge watakuwa wakitumia mbinu ya kidijitali kwa kutumia kadi zao. Hivyo, ni vyema sana wahusika washughulikie jambo hili. Hatuwezi kuketi na kujihisi wanyonge kuona wengine wakija baada yetu na kuzungumza ilhali tumekaa tangu saa nane."
}