GET /api/v0.1/hansard/entries/1393906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1393906,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1393906/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Swali langu, Bwana Waziri, ni hili: Hizi kaunti tatu za Embu, Tharaka-Nithi na Meru, tuko Mt. Kenya East na tunateseka sana. Kutoka hapa kwenda Makutano, ni kilomita 100 na tunaenda kwa dakika 40. Lakini kutoka Makutano kwenda Mwea, Embu, Tharaka-Nithi na Meru tunaenda kwa masaa matatu. Tunakuuliza kama kuna mipango ya kupanua barabara hiyo ipanuliwe ili hata sisi watu wa Mt. Kenya East tuweze kusherehekea matunda ya Serikali ya Kenya Kwanza kwa hiki kipindi cha miaka mitano. Kwa miezi na miaka inayokuja, tunataka Embu County iwe city kwa sababu ndio tunategemea upande wa Mt. Kenya region. Asante, Bw. Waziri, na ujue hilo swali umeulizwa na Deputy Party Leader wa Democratic Party of Kenya (DP)."
}