GET /api/v0.1/hansard/entries/1394101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1394101,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1394101/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "wa barabara ya kutoka Ngong hadi Suswa atakwenda kule kwa muda wa wiki mawili. Sasa miezi saba imepita tangu Mhe. Murkomen alipokuwa hapa. Katika kumbukumbu za Seneti, tuliambiwa kuwa contractor atakwenda kule kwa muda wa wiki mbili. Barabara hiyo imebakisha kilomita sita pekee kukamilika. Kuna sehemu ndogo tu ya kuweka daraja na mahali ambapo mawe yanatakikana kuondelewa ili tupate njia mbadala ambayo watu wanaosafiri kwenda Narok, Migori na Kisumu wanaweza kutumia. Namwomba---"
}