GET /api/v0.1/hansard/entries/1395298/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1395298,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1395298/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tunaona kuna mwengine alipatikana na hatia, kama yule aliyefungwa juzi akaambiwa ataenda kunyongwa. Lakini, hayo ni mambo baada ya korti kumsikiliza yule mtu. Kwa hiyo, hali hii ya ulaghai ama polisi kuchukua sheria katika mikono yao, ipingwe kwa hali ya juu sana. Sisi kama Maseneta hapa hatutakubali Wakenya kupoteza maisha yao kupitia kwa mikono ya polisi ambao wamechukua hatua ya kuangamiza Wakenya kwa kuwapiga risasi ama kuwatoa kwa nyumba zao bila sheria inayoambatana, na hatimaye kuwapata wamekufa. Asante."
}