GET /api/v0.1/hansard/entries/139561/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 139561,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/139561/?format=api",
    "text_counter": 595,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "zinatumika sasa tungekuwa na wananchi kadiri ya elfu mbili kazini. Lakini kwa sasa wamenyimwa hiyo kazi kwa sababu ya tamaa ya watu fulani. Ndiyo sababu ninataka hiyo itolewe na sheria iwekwe ya kuchukua hizo leseni. Nchi hii ni ya maajabu sana. Katika nchi hii, mtu anapewa shamba ambayo inafaidi watu lakini hawezi kunyang’anywa hata kama kuna sheria. Vile vile, huo wakati mtu anachukua na kuweka kwa kabati, halipi leseni, haitumiki na ni yake na hakuna sheria ambayo inaweza kuzitoa. Mimi ningependa kusema kwamba sheria za nchi zitumike la sivyo, tuambiwe sababu. Kama hazijatengenezwa, tuambiwe ili tuweze kutengeneza zingine."
}