GET /api/v0.1/hansard/entries/1398395/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1398395,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1398395/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika. Kusema kweli ni sawa, nakubaliana nawe. Waswahili wanasema mdomo na ulimi hauna mfupa. Au sio? Kwa hivyo nakubaliana naye. Bw. Naibu Spika, yangu ni kusema haki lazima itendeke kwa watu wa Kwale, katika eneo la hilo shamba. Nashukuru mwenzangu, nominated Senator Chimera, ambaye tunashirikiana pamoja. Tukazane tuhakikishe watu wetu wanapata ardhi hii na sawasawa. Asante, naunga mkono sana Petition hii."
}