GET /api/v0.1/hansard/entries/1398446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1398446,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1398446/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. M. Kajwang",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13162,
        "legal_name": "Moses Otieno Kajwang'",
        "slug": "moses-otieno-kajwang"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ninashukuru kwa kunipa fursa hii. Vile unavyojua, mimi ndiye mwenye boma kama Seneta wa Kaunti ya Homa Bay. Tunafanya kazi vizuri na Sen. Beatrice Ogola. Anafanya kazi vizuri chini yangu nami ninafanya kazi vizuri juu yake."
}