GET /api/v0.1/hansard/entries/1398588/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1398588,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1398588/?format=api",
"text_counter": 238,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, mambo ya miwa ilikuwa kwa mitandao kila mahali na watu wa Nandi walihudhuria. Ni vile tu rafiki yangu, Sen. Cherarkey, hakusikia vizuri. Ninasema ya kwamba watu wake walikuwa pale na ile kaunti ambayo tulitembelea ilikuwa kwa mpaka. Kwa hivyo, kama hakusikia vizuri, mimi sikusema hivyo. Kama nimeongea vibaya, mimi nimesema sikusema hivyo. Kitu kingine ambacho kilifanya tusiende kwa zile kaunti zingine, ni kwamba hatukuwa na pesa na hata tunajua yeye mwenyewe, wakati---"
}