GET /api/v0.1/hansard/entries/1398894/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1398894,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1398894/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Waziri ananichanganya. Anaongea Kiswahili na kubadilisha na kuongea Kizungu. Inakuwa ngumu kufuata maneno yake. Ningeomba Waziri azungumze kwa lugha moja."
}