GET /api/v0.1/hansard/entries/1400785/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1400785,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1400785/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Kuna barabara ya Madafuni ambayo inatokea katika sehemu ya Rabai. Baada ya wiki mbili kutoka leo, Kamati ya Maombi ya Umma ambapo nilituma ombi langu itanieleza kwa nini Serikali haijamaliza barabara hii. Kwa hivyo, tutakuwa na hiyo Kamati kuona tunafanya bidii barabara ya Jitoni imalizike. Ninamwambia Mhe. Rais leo kuwa aliianzisha barabara hiyo, lakini mpaka saa hii kuna uzembe."
}