GET /api/v0.1/hansard/entries/1400907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1400907,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1400907/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kusumbuliwa pale walipo. Wao kama wale wengine wanaorandaranda wana haki ya kupewa mahali pazuri pa kuishi. Ninapendekeza hivi pia iwapo inawezekana. Kuna nyumba za bei nafuu ambazo zinapeanwa. Watu hao wapewe mahali pazuri pa kuishi kwa sababu ni kero na usalama unazidi kuzorota katika Mji wa Mombasa. Iwapo inawezekana, fikeni kule Mombasa mturekebishie bustani zetu ili tuwe na mandhari mazuri ya kujivinjari."
}