GET /api/v0.1/hansard/entries/1401122/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1401122,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1401122/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundingi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Swali langu ni kwa Waziri wa Afya. Waziri wa Afya, asante Sana. Mimi ni mmoja wa wale wanao unga mkono mawaziri na magavana wa kike wanaofanya kazi nzuri. Pongezi kwako."
}