GET /api/v0.1/hansard/entries/1401124/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1401124,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1401124/?format=api",
    "text_counter": 285,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundingi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wizara ya Afya Kenya imegatuliwa katika serikali gatuzi. Tunajua kaunti nyingi ziko na madeni. Umejaribu sana kulainisha Wizara ya Afya. Swali langu ni, tunajua kwamba jukumu la afya liko kwa serikali gatuzi. Nashangaa sana kuwa wabunge wanofaa kutupatia pesa ili upatie serikali gatuzi kupitia hapa, ndio wanaokushtumu wakisema uende nyumbani."
}