GET /api/v0.1/hansard/entries/1401874/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1401874,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1401874/?format=api",
    "text_counter": 647,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Martha Wangari",
    "speaker_title": "Spika wa Muda",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Ahsante Mhe. Zamzam. Ikiwa haujamaliza, utakuwa umesalia na dakika tano kwenye kikao kijacho, iwapo utapenda kuendelea na Mswada huo. Lakini kwa sasa, ningependa kuahirisha shughuli za Bunge, kama ilivyoelekezwa hapo awali, ili kujadili suala mahususi, la dharura, na la muhimu kwa taifa, kama vile ilivyoelekezwa na Spika. Ni suala ambalo litawasilishwa na Mhe. Korere. Utakuwa na nafasi ya dakika kumi, Mhe. Sarah Korere. Vilevile, nitampa mwenzako ambaye alikuwa na Hoja kama hiyo, Mhe. Mwangi Kiunjuri, dakika kumi. Kisha yeyote atakayetaka kuchangia atapata nafasi ya dakika tano. Kwa hivyo, Mhe. Korere, nafasi ni yako. Tutarudi kwa Mswada huu katika kikao kijacho. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}