GET /api/v0.1/hansard/entries/1402421/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1402421,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1402421/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Naibu Spika, ninaunga Mswada huu mkono ili uweze kupitishwa mara moja. Magavana wetu licha ya kuwa wana majukumu ya kutafuta hela, wasitafute kwa kuumiza wananchi. Wasifanye maisha yao yawe magumu mpaka wanashindwa kufanya biashara."
}