GET /api/v0.1/hansard/entries/1402561/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1402561,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1402561/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika. Nimesimama kuambatana na Kanuni za Kudumu za Seneti 52(1) kutoa kauli kuhusu jambo linalohusu kaunti nzima, kuhusiana na hali ngumu za kazi na kunyanyaswa kwa wafanyikazi wa Export Processing Zones(EPZ) hususan wafanyikazi wa Ashton Apparels Mjini Mombasa. Kuna mashirika mengi ambayo yamefungua biashara ili kusafirisha bidhaa kwenda masoko ya Marekani kupitia kwa mpango wa African Growth and OpportunityAct (AGOA) ambayo ni sera maalum ya Serikali ya Marekani inayochukua bidhaa kutoka nchi za Afrika. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}