GET /api/v0.1/hansard/entries/1402641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1402641,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1402641/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bwana Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili nitoe kauli yangu kuhusiana na Mswada ambao umeletwa Bungeni na Seneta Cherarkey. Kwanza nampongeza Seneta wa Nandi kwa kazi nzuri anayofanya katika Bunge hili. Tulipompokea hapa mwaka wa 2017, tulimpa wadhfa wa Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Haki za Kibiinadam. Ni hapo tulipoweza kumnoa."
}