GET /api/v0.1/hansard/entries/1402650/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1402650,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1402650/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kashfa ni kucriticise. Hoja ile haikuweza kuona jua kwa sababu ya yale mamlaka yamewekwa katika Bunge ambayo mara nyingi yanahujumu kazi za Wabunge. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Mswada huu. Tutasaidiana kuhakikisha kwamba umepita ili tuweke sheria itakayosaidia kuongeza uwazi katika kaunti zetu. Asante Bw. Spika wa Muda."
}