GET /api/v0.1/hansard/entries/1403210/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1403210,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403210/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Turkana West, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Daniel Nanok",
    "speaker": null,
    "content": "Nikikumbuka tu kwa ufupi maisha ya Jenerali Ogolla, niliwahi kukutana naye mara mbili hapo awali nikiwa Mbunge, na yeye akiwa Naibu wa Jenerali wa Kibochi wakati huo. Alikuwa mwenye heshima na ukakamavu kazini. Alifahamu vyema kazi yake. Alinikalia mwenye kupenda kazi yake na maadili yake. Kwa hivyo, nchi hii imempoteza Jenerali ambaye angeitumikia kwa kujitolea kabisa."
}