GET /api/v0.1/hansard/entries/1403211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1403211,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403211/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Turkana West, UDA",
"speaker_title": "Hon. Daniel Nanok",
"speaker": null,
"content": "Kenya na jeshi lake la KDF liko na umaarufu duniani kote kwa kazi wanayoifanya iwapo kuweka amani katika nchi ambazo zimekumbwa na misukosuko kama South Sudan, Kosovo, Namibia au mahali popote ambapo wamepelekwa au kukubaliwa kuhudumu kama"
}