GET /api/v0.1/hansard/entries/1403213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1403213,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403213/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Turkana West, UDA",
"speaker_title": "Hon. Daniel Nanok",
"speaker": null,
"content": "Na kwa sababu hiyo, wanastahili heshima zetu kama nchini ya Kenya. Wanastahili pia kupewa motisha tofauti tofauti. Na ndiposa, naungana na Mhe. wa Lamu Mashariki kwamba sio jambo kubwa sana kwa wanajeshi kupewa nafasi ya mbele wanapoenda kupanda ndege ama wanaposafiri katika ndege zetu hapa nchini wakielekea nje."
}