GET /api/v0.1/hansard/entries/1403247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1403247,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403247/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "Pia, sisi tunataka kuwapatia heshima na wao waendelee kuwa na heshima. Tunawaheshimu wanajeshi wetu sana. Tangu tupate Uhuru mwaka wa 1963, kumetokea upuzi katika Serikali mara mbili. Hii ni wakati wa hayati Rais Kenyatta na wakati wa hayati Rais Moi, ambapo kulikuwa na mapinduzi madogo kwa muda mfupi tu ya walevi. Wanajeshi wengi sana wanaheshimu Wakenya. Tunawashukuru sana. Naomba Mhe. Ruweida, ambaye ameleta Hoja hii, asisahau vikosi vya usalama vya ndani. Angevijumuisha kwa sababu kule nje The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}