GET /api/v0.1/hansard/entries/1403316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1403316,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403316/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": "katika kuabiri ndege, hali hiyo pia ingefanywa kwa maafisa wengine ambao bila uwepo wao, haitakuwa rahisi kwa afisa wa jeshi kufika ngazi ile. Nizungumzapo, tuna maofisa katika ngazi ya elimu na udakitari ambao wanastahili kupewa heshima katika huo mwongozo wa ni nani anastahili kuja mwanzo. Kwa hivyo, haya yawekwa kwa fikra. Tutakapopata Mswada wenyewe, tutazidi kuuchangia. Ahsante."
}