GET /api/v0.1/hansard/entries/1403503/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1403503,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403503/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Kaunti kama ya Marsabit, katika supplementary budget, pesa ya maendeleo imebadilishwa na ikapelekwa kwa chakula na wakati mwingine, inakuwa shilingi milioni mia sita, saba au nane. Sababu ya hio pesa kubadilishwa kutoka kwa development fund na kupelekwa kwa relief supplies ni kwa sababu, kwa relief supplies, hakuna ile tenda ya kawaida inafanywa sababu ni emergency supplies procurement system . Hii ni njia ambayo inafanya ofisi ya gavana kuitisha wakandarasi bila kupitia njia ya tenda ya kawaida. Bw. Naibu wa Spika, tunaambiwa Maseneta ni watu wanatakikana kusaidia ugatuzi katika nchi hii. Ugatuzi ni lazima ufutwe na maendeleo. Ukiangalia Kaunti zingine na sitataja majina hapa, maendeleo yao ya ujenzini 6 per cent peke yake. Mimi ni mwanachama wa Kamati ya Ugatuzi na nilishtuka sana kuona makaunti yana 6 per cent. Kama unatumia 94 per cent kufanyisha kazi 6 per cent, kweli ugatuzi bado kufanya kazi. Ninaona ni kama hatufanyi kazi ya ugatuzi vizuri. Ninamshukuru sana Seneta wa Narok kwa kuleta Hoja hii. Ukitazama kaunti ambazo magavana wao ni Waisilamu, wao husema wanaenda Hajj na Umra . Pia wao wanasali mara tano kwa siku na wanalipa sadaka na Zakat . Lakini, ukiangalia kaunti zao, hizo ndizo kaunti zinarudisha ugatuzi nyuma. Hizo ndizo kaunti ambazo nina ufisadi mkubwa. Wao wanadai kaunti zao ni arid na hazina mvua ya kutosha. Wao hurudisha pesa za kujenga kwa kaunti kwa chakula. Bw. Naibu wa Spika, ukienda---"
}