GET /api/v0.1/hansard/entries/1403581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1403581,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403581/?format=api",
"text_counter": 228,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Nauliza, je, zile zengine zilizoko kwa gatuzi zetu, wanazisaidia vipi kama Serikali kuu? Kitambo, maktaba hizi zilikuwepo lakini zilikuwa zinapata usaidizi kutoka kwa Serikali kuu. Je, tayari Serikali kuu imeleta hela katika kaunti zetu ama bado ziko katika Serikali kuu? Asante, Bw. Naibu Spika."
}