GET /api/v0.1/hansard/entries/1403583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1403583,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403583/?format=api",
    "text_counter": 230,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Aisha Jumwa",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Gender, Culture and Arts and Heritage",
    "speaker": {
        "id": 691,
        "legal_name": "Aisha Jumwa Katana",
        "slug": "aisha-jumwa-katana"
    },
    "content": " Asante sana, Bw. Naibu Spika. Kwa kweli nimejieleza sana kuhusu ugatuzi wa maktaba, kwamba tumegatua masuala ya maktaba. Sisi kama Serikali kuu tulifanya jukumu letu. Baada ya kugatua hizi maktaba kwa gatuzi tulizozipeleka, tulipeleka kila kitu, ikiwemo wafanyakazi na bajeti. Kwa hivyo, suala la ni vipi Serikali ya kitaifa inasaidia, nafikiri jukumu hilo sasa ni lenu nyinyi Wabunge. Mna sauti kubwa kuhakikisha ya kwamba mnaweka pesa zaidi kuenda kwa kaunti, katika ku manage libraries kule mashinani. Asante sana, Bw. Naibu Spika."
}